IQNA – Balozi wa Iran nchini Urusi (Russia), Kazem Jalali, alimkabidhi Askofu Mkuu wa Russia ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, wakati wa mkutano wao.
Habari ID: 3482569 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01